Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,627
- 83,253
Nipo na lurk tu hapa sioni chochote nilaze zangu uke tu😃Kumbe upo kimya kimya shogareeee 😂 😂
Nipo na lurk tu hapa sioni chochote nilaze zangu uke tu😃Kumbe upo kimya kimya shogareeee 😂 😂
😹😹😹 Debo ana jicho la kunyegesha uduguu afu jeupeee km la Stara Thomas..!![emoji23][emoji23][emoji23] udugu Debora ana macho makubwaa?? Una dhambi weweee ujue.
Hayo macho ndo yanawachanganya wanaume wa JF, akiyaweka kope na kungumanga ni balaaa [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unaambiwa na sio mnyimi muda wote anampa akijisikia hamu, sasa bibi mjeda yeye muda wote yuko lindoni analala nje km panga huduma hafifu ndo D alipomzidi hapo..!! 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nacheka kwa sauti hapaa ujue. Mbona kawashika hadi zaga (1200)
Hawasikii wala hawaoni kwa Dada Debora. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi Pimbi uduguu? Em sema kwelii? Jamani CH anawapakia mkongo hawa watu, mjeda na muhasibu wanapigana vikumbo kumuwania mjeda mlokolee.[emoji81][emoji81][emoji81] Debo ana jicho la kunyegesha uduguu afu jeupeee km la Stara Thomas..!!
Fake p kamuita mwenzie pimbi eti kafupi..!! [emoji81][emoji81] Mi najua wivu wake tu..!!
View attachment 3576334
Huu uzi kumbe bado unakimbiza
[emoji23][emoji23][emoji23] Debo na Fake P mbona wanaweza kuwa sawa kiumri, ko wote ni mishangazii.Anawapelekea moto mashangazi sio pouwa..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Hadi mjeda kafikiwa famchezo [emoji1787]
Fake p aachane naye hiyo veepee?
Kwani yeye hataki kusuguliwa [emoji81][emoji81]
Unaambiwa bwana anazo mbili na anapaka vumbi afu wanamuachaje hapo?? [emoji81][emoji81]
Bora mimi babe wangu sekunde chali nguvu za kuku hawamtaki hata bureeee [emoji1787][emoji81]
CT anipe jina la vumbi nimpe huenda naye akagombewa khaaaa..!!
Wapi huko? Kisinia kisikose kuku aisee..!! 😹😹😹pacha hutaki twende kwenye kisinia 😅
Kwani yeye CH hawi lindoni? Mbona sio mnyimi, na Debo hajui kunyima, uchoyo yeye sio shida zake kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23]Unaambiwa na sio mnyimi muda wote anampa akijisikia hamu, sasa bibi mjeda yeye muda wote yuko lindoni analala nje km panga huduma hafifu ndo D alipomzidi hapo..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Eeehh uduguu pimbi ilikuwepo 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] hadi Pimbi uduguu? Em sema kwelii? Jamani CH anawapakia mkongo hawa watu, mjeda na muhasibu wanapigana vikumbo kumuwania mjeda mlokolee.
Nacheka km mwehu hapaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaambiwa fake P alikasirika sana Debo kuachana na miongozo na kile kipindi Debo alivyokuwa anataka kurudi kwa Miongozo kumbe penzi lilichacha kwa CT na yeye ndo alivuruga mpk ujauzito wa D ukatoka 😹😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] Debo na Fake P mbona wanaweza kuwa sawa kiumri, ko wote ni mishangazii.
D Yeye pale penye mahaba ndi ndi ndi ndo anaingia kuyatindinganya yaan anakua roho kwatuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapoi wala haboi. Woiiiiiih
Aaaahhh dada D sio mchoyo kabisaaaaa..!!Kwani yeye CH hawi lindoni? Mbona sio mnyimi, na Debo hajui kunyima, uchoyo yeye sio shida zake kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapewa buree, ya nini akibane bane? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sisi? Khaaah
Umejuaje ninayo 🤣🤣🤣🤣Heh! Naiomba😁
[emoji23][emoji23][emoji23] D Hafungi ndoa na CH, niko hapaaa, ataachwa vibaya sana.Eeehh uduguu pimbi ilikuwepo [emoji81][emoji81][emoji81]
Na unaambiwa jana baada ya vurumai kaenda kulala kwa D wanapanga kuhusu ndoa hii fake p haijui..!!
Asubuhi ndo D kampa taarifa soon anapelekewa card na D kasema muda wa kurusha ua anataka fake ndo alidake ili atafute wake wa kumuoa..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]Unaambiwa fake P alikasirika sana Debo kuachana na miongozo na kile kipindi Debo alivyokuwa anataka kurudi kwa Miongozo kumbe penzi lilichacha kwa CT na yeye ndo alivuruga mpk ujauzito wa D ukatoka [emoji81][emoji81][emoji81]
Sasa CT akakumbuka utramu wa kitumbua cha D akarudi weeeeeeh bibi mabaka akapandisha mori la kina mura si mkurya yule unaambiwa kiliwaka anatoa vitisho atafumua mtu ubongo hataki kushare kendree na mtuuuuu[emoji81][emoji81][emoji81]
Shoga ake gani? Yule yule waliye share kwa Mr miongozo au yupii?Aaaahhh dada D sio mchoyo kabisaaaaa..!!
Unapewa mzigo ujisevie hadi uchoke weyeee… yeye uchoyo sio vitu vyake..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Sema nasikia D kuna shogaake mmoja kapita na CT makubwaaa uduguu..!!
Fake P alitakiwa aje ayatoe yote hayo hapa ana mkanda mzima..!! Heeeeeheya
Pole weeh mimba ya CH sio miongozo..!![emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu, kwani mimba ilikua ya CH? mbona file nililokua nalo mie lilisema mimba ni ya Mr miongozo, ila hakutaka kuzaa nae ndo akachoropoa.
Which is which?? Mabwakuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Si maelezo yako🤣Umejuaje ninayo 🤣🤣🤣🤣
😹😹😹 Fake P haolewi bwana jana kasema anamuoa Debo 🤣[emoji23][emoji23][emoji23] D Hafungi ndoa na CH, niko hapaaa, ataachwa vibaya sana.
Tatizo huwa anaingia kwa wanaume ambao wenye wanawake wao.
Kuanzia M, Mr miongozo na hata huyu CH.
Utakuja uniambie hapa, CH na fake P hawaachani.
Fake P hajamtaja ila kasema atakuja kumtaja ila ndo huyo kakimbia hajaleta team uwanjani saa 5 hii 😹😹😹Shoga ake gani? Yule yule waliye share kwa Mr miongozo au yupii?
CH mwenyewe kuna mdada alikua anamzengea zengea humu, kipindi hiko D yuko na Mr miongozo, na yeye CH yuko na Fake P.
Afu anajifanya church man, kumbe nae mshenzi tUuh km wengine wa humu.
Sisi tutabondwa uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]