lamomy eti kweli country kabambikiwa mtoto?Muwe mnaenda na muda basi Fake P au umehairisha ngoma nzito kumkabili Depal 😹😹🤣
Mwanaume kawaida, hata wewe unaweza kubambikiwa au ukabambikwa kwa baba sio wako..!! Swali lingine?lamomy eti kweli country kabambikiwa mtoto?
taratibu bhana tunachangamsha kijiwe tu kusogeza muda nakuaminia refalii 😂😂😂Mwanaume kawaida, hata wewe unaweza kubambikiwa au ukabambikwa kwa baba sio wako..!! Swali lingine?
😹😹😹 Fake P mwenyewe naona anaogopa tu! Nimepuliza kipenga hajaleta team uwanjani Kampa ushindi wa mezani mpinzani wake..!!taratibu bhana tunachangamsha kijiwe tu kusogeza muda nakuaminia refalii 😂😂😂
apewe muda saa tatu haijaisha 😂😂😹😹😹 Fake P mwenyewe naona anaogopa tu! Nimepuliza kipenga hajaleta team uwanjani Kampa ushindi wa mezani mpinzani wake..!!
Wakati mwenzie alimlipua bila huruma mambo yao ya pm na shem Certified hater..!!
apewe muda saa tatu haijaisha 😂😂😹😹😹 Fake P mwenyewe naona anaogopa tu! Nimepuliza kipenga hajaleta team uwanjani Kampa ushindi wa mezani mpinzani wake..!!
Wakati mwenzie alimlipua bila huruma mambo yao ya pm na shem Certified hater..!!
mikwara mbuzi tu kumbeAnazingua anakosa point za muhimu..!!
Angeanza kwa kwenda na muda ili tumzingatie..!! 😹😹😹
We Fake P em njoo bana unaogopa vipi vitu vidogo km hivi? Tukivamiwa utaweza kweli kupambana na waasi? 🤣😹😹😹
Mikwara tupu vitendo zero..!!mikwara mbuzi tu kumbe
[emoji23][emoji23][emoji23] hatariiHutaki au[emoji16]
Wachaa wee!!Kawaida tu.
Rhabhekhaa chino, nipe michongo bas.Engeneer;
unajua kumjaza mtu upepo nia yako aje tu kukinukisha 🤣Mikwara tupu vitendo zero..!!
Amepigwa home and away 🤣😹
Kuna nini kunako selfika??Uwanja uwe safi leo saa 3 kuna pambano, hakuna kuita mods wanoko tunawajua..!!
Wenye picha zenu tulieni nazo mtaendelea kesho..!! Leo uwanja uko busy..!!
Hakikisha una popcorn na utulie kushuhudia which is which.. SAWASAWA? [emoji81][emoji81]
Nuzulati wifi njoo kijiwe kina uzinduzi huku
😹😹😹 Na atakuja tu alituahidi mwenyewe..!!unajua kumjaza mtu upepo nia yako aje tu kukinukisha 🤣
We nawe Unapitwa siku hizi km mimi..!!Kuna nini kunako selfika??
Mpambano ulitakiwa kuwa saa 3 lakini hamna kitu sasa sijajua fake p kaogopa au vipi?Jamaniii huo mpambano ni mda gani, maana nimetonywa huko tsup, kuwa kuna bonge la ubuyu hapa.
Sasa mbona hamna kitu? Aaaah ndo nini sasa kutuweka roho hea hea hivii?
Bora nikose kula, ila sio umbeaa, yaan nimetoka chimbo jana kushuhudia ubuyu wa moto, leo JF.
MAJIRANIIIII HUKUUUU. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]We nawe Unapitwa siku hizi km mimi..!!
Udugu ni Depal na fake P wanamgombea certified hater. Unaambiwa toka jana humu JF kuliwaka mbaya..!!
Sasa huku na huku D kayamwaga yote kwamba fake p anamchunguza kila mara na wenyewe wanataka kufunga ndoa yeye kwanini hatulii km pilipili iliyootea makaburini [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
Sasa fake p naye kasema usinichezee saa 3 nakuja kuyamwaga yote uwanja wa nyumbani selfika..!! Ndo tunamsubiri hapa sijui bado hajakabidhi silaha aingie huku tuone hayo mapdf..!! [emoji81][emoji81][emoji81]