Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mpambano ulitakiwa kuwa saa 3 lakini hamna kitu sasa sijajua fake p kaogopa au vipi?

Unaambiwa Shem ana dyudyu tramu warembo hawaelewi kila mmoja anataka kumiliki peke yake hataki kushare..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Yote Tisa kumi D kapewa mpaka password ya id ya shem na fake p akituma msg pm D ndo anamjibu!! Upo hapo? Haiyaaa hea hea hiya hiya majotrooo [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mambo hiya hiya!! Hadi nywila ya JF D kapewa, watu wana kismati chao Mjini hapa.
Nacheka km mazuriii vilee, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila JF ya moto nyie, ila mbona inasemekana kuwa Fake P ndo main chick wa CH, tena wakati D yuko na Mr miongozo,
Ila baada ya D kumwagana na Mr miongozo ndo akaanza kujiless kwa CH,

Afu unaambiwa CH ni church man, kumbe nae ni wale wale, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona ubuyu huu niliupataga mda, kwani wee huna uduguu? Usiniambie hata kiduchu huna. Lol

Jamaniii wahusikaaa mkujeeeee hapaaa, mtuwekee yote msiache chochote.
Ili Mafile yakae mahala pake. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo liubuyu ninalo kitambo mi nikose file km hilo thubutuuu..!! 😹😹😹

Sema D atakuwa na mpodido mtramu mana jana CT kamlilia sana na simu haziishi kwa D kumplizz..!! 😥

Church boy wapi unaambiwa anawapakia vumbi la Kongo na yeye ndo kamjaza fake p alimlipue D 🤣

Yani km kipindi kile kwa miongozo yamejirudia tena ila safari hii D ndo main chick..!! 😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mambo hiya hiya!! Hadi nywila ya JF D kapewa, watu wana kismati chao Mjini hapa.
Nacheka km mazuriii vilee, [emoji23][emoji23][emoji23]
D mganga wake anampa kitu anachotaka, sio mimi bahili naagizwa mbuzi napeleka kuku broiler 😹😹😹

Mganga analipua dawa hazimfikii mlengwa zinaishia chalinze zinaendelea na mambo yake..!!! 🤣😹😹😹

Uduguu tupeleke waganga wanavyovitaka tutaachwa kila siku na midomo yetu..!! 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila JF ya moto nyie, ila mbona inasemekana kuwa Fake P ndo main chick wa CH, tena wakati D yuko na Mr miongozo,
Ila baada ya D kumwagana na Mr miongozo ndo akaanza kujiless kwa CH,

Afu unaambiwa CH ni church man, kumbe nae ni wale wale, [emoji23][emoji23][emoji23]

Mbona ubuyu huu niliupataga mda, kwani wee huna uduguu? Usiniambie hata kiduchu huna. Lol

Jamaniii wahusikaaa mkujeeeee hapaaa, mtuwekee yote msiache chochote.
Ili Mafile yakae mahala pake. [emoji23][emoji23][emoji23]
alaah coca ndio napokupendea hapo 🤣
 
Hilo liubuyu ninalo kitambo mi nikose file km hilo thubutuuu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Sema D atakuwa na mpodido mtramu mana jana CT kamlilia sana na simu haziishi kwa D kumplizz..!! [emoji26]

Church boy wapi unaambiwa anawapakia vumbi la Kongo na yeye ndo kamjaza fake p alimlipue D [emoji1787]

Yani km kipindi kile kwa miongozo yamejirudia tena ila safari hii D ndo main chick..!! [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila D anajua kuwachachafyaa wanaume wa humu, sijui anawapaga nini yaani, sasa yeye CH amtume fake P amlipue D, kwamba kamchoka au?

Ila Fake P nae, ukamanda wote huo alilie mkuyenge? Huko kambini hajawaona MPs wenzie? Aaah anaua brand bhanaa.

Uduguu ko CH anawapakia mkongo? Akati unaambiwa mwenzio ni artists wa Tenzi za rohoni, na wanaimbiana na D.[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaniiiii D na Fake P em mkuje hapa kutueleza kwa undani, wambea na watunza masijara ya umbea wa JF ndo tuko hapa Liveee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
D mganga wake anampa kitu anachotaka, sio mimi bahili naagizwa mbuzi napeleka kuku broiler [emoji81][emoji81][emoji81]

Mganga analipua dawa hazimfikii mlengwa zinaishia chalinze zinaendelea na mambo yake..!!! [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]

Uduguu tupeleke waganga wanavyovitaka tutaachwa kila siku na midomo yetu..!! [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaaa!! Kwa kweli D afanye kutupeleka kwa mganga wake, maana kanyooka hana kona kona wala bumps.
Chezea Weyeeee. [emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiii hukuuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila D anajua kuwachachafyaa wanaume wa humu, sijui anawapaga nini yaani, sasa yeye CH amtume fake P amlipue D, kwamba kamchoka au?

Ila Fake P nae, ukamanda wote huo alilie mkuyenge? Huko kambini hajawaona MPs wenzie? Aaah anaua brand bhanaa.

Uduguu ko CH anawapakia mkongo? Akati unaambiwa mwenzio ni artists wa Tenzi za rohoni, na wanaimbiana na D.[emoji23][emoji23][emoji23]

Jamaniiiii D na Fake P em mkuje hapa kutueleza kwa undani, wambea na watunza masijara ya umbea wa JF ndo tuko hapa Liveee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamanda haelewi dyudyu limemkolea gwanda katupa..!!

CT naye ni baka ila kakolea kwa D huku hataki kumuachia P 😹😹😹

Eehh ndio anawapakia mkongo ili kuwapagawisha 😹😹🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaaa!! Kwa kweli D afanye kutupeleka kwa mganga wake, maana kanyooka hana kona kona wala bumps.
Chezea Weyeeee. [emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiii hukuuu.
Atupeleke mana sio kwa kuwashika masikio wanaume huku JF 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaaa!! Kwa kweli D afanye kutupeleka kwa mganga wake, maana kanyooka hana kona kona wala bumps.
Chezea Weyeeee. [emoji23][emoji23][emoji23]

Majiraniiii hukuuu.
Hakuna uganga ni utamu tu 😂

Asubuhi Fake alituma kapicha kwenye reply, ila mod wakapita nako ila ilikua mdada brown skin ana dimpoz, sasa sijui huyo ni D au F au ni mtu random tu.
 
Kamanda haelewi dyudyu limemkolea gwanda katupa..!!

CT naye ni baka ila kakolea kwa D huku hataki kumuachia P [emoji81][emoji81][emoji81]

Eehh ndio anawapakia mkongo ili kuwapagawisha [emoji81][emoji81][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila D anajuaga kuyatindinginyua mapenzi ya watu. Ko kaingia anga za wajeda haogopi Doso na kwata??

Fake P aache hizo, yeye a focus na mambo yake, mbona easy sana.
ila D ni kibokooo!! Ananyoosha tUuh wenzie. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atupeleke mana sio kwa kuwashika masikio wanaume huku JF [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nacheka kwa sauti hapaa ujue. Mbona kawashika hadi zaga (1200)
Hawasikii wala hawaoni kwa Dada Debora. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ni D ana dimple na macho makubwa [emoji81][emoji81]

Fake p mchokozi, D naye akileta pic zake mzani utakuwa umebalance..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] udugu Debora ana macho makubwaa?? Una dhambi weweee ujue.
Hayo macho ndo yanawachanganya wanaume wa JF, akiyaweka kope na kungumanga ni balaaa [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila D anajuaga kuyatindinginyua mapenzi ya watu. Ko kaingia anga za wajeda haogopi Doso na kwata??

Fake P aache hizo, yeye a focus na mambo yake, mbona easy sana.
ila D ni kibokooo!! Ananyoosha tUuh wenzie. [emoji23][emoji23][emoji23]
Anawapelekea moto mashangazi sio pouwa..!! 😹😹😹

Hadi mjeda kafikiwa famchezo 🤣

Fake p aachane naye hiyo veepee?
Kwani yeye hataki kusuguliwa 😹😹

Unaambiwa bwana anazo mbili na anapaka vumbi afu wanamuachaje hapo?? 😹😹

Bora mimi babe wangu sekunde chali nguvu za kuku hawamtaki hata bureeee 🤣😹

CT anipe jina la vumbi nimpe huenda naye akagombewa khaaaa..!!
 
Back
Top Bottom