Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,668
- 83,469
Siku moja moja unajichanganya na wenye dunia yao😆🤸🏽♀️Tajiri hii weekend hauiachi salama...
Siku moja moja unajichanganya na wenye dunia yao😆🤸🏽♀️Tajiri hii weekend hauiachi salama...
Sasa hivi utaanza kutype vituko kama min-meSiku moja moja unajichanganya na wenye dunia yao😆🤸🏽♀️
Ahh wee! Unanifananisha mm na mlevi wa jf🤣 kale kana kata crate unaona! Akhuu mi vijuice tu💃🏽Sasa hivi utaanza kutype vituko kama min-me
Nakusalimu😀😀Ahh wee! Unanifananisha mm na mlevi wa jf🤣 kale kana kata crate unaona! Akhuu mi vijuice tu💃🏽
Nasubiri upite unapotea sana mwanamke wa mithali😅Nakusalimu😀😀
HahaaaNasubiri upite unapotea sana mwanamke wa mithali😅
Pita chapchap hawapo🤣Hahaaa
HahaaaPita chapchap hawapo🤣
Unataka nikubembeleze wee unizungushe wee ili ufurahi
bado sijapona majeraha ulonitusi juzi😔Unataka nikubembeleze wee unizungushe wee ili ufurahi
Weka picha min-me anasubiri. Acha kudeka.bado sijapona majeraha ulonitusi juzi😔
namdekea nani sasa🤣Weka picha min-me anasubiri. Acha kudeka.
Sifahamu hichi kifaaView attachment 3558399
mara ya mwisho umejipima wingi wa virusi mwilin mwako ni lini? hebu njoo uniungishe huku😊 ukajicheki mshamba_hachekwi
sawa haukifahamu ila ndo hata kusoma ushindwe mwanetu😭Sifahamu hichi kifaa
Nimesoma, ila ndo nakiona leo. Hata hivyo HIV sinasawa haukifahamu ila ndo hata kusoma ushindwe mwanetu😭
nani kasema unayo? mtaani unakutana na vitu vingi kwahiyo ni muhimu kuwa unajichek mara kwa mara uone muenendo wa mwili wako, sawa mdogo wangu wa mwisho 😍🤗Nimesoma, ila ndo nakiona leo. Hata hivyo HIV sina
Ukitubu na ukimwi unapona hapo hapo.nani kasema unayo? mtaani unakutana na vitu vingi kwahiyo ni muhimu kuwa unajichek mara kwa mara uone muenendo wa mwili wako, sawa mdogo wangu wa mwisho 😍🤗