Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,278
- 35,639
Lol! Nimecheka sana, maongeza ya hela anaingiza usharobaro!! Hii meza imetulia sana wallahView attachment 3537102
Mambo ya mwisho wa mwezi na vicoba😂😂
Poker unamkumbuka yule dogo alotingisha meza yetu? Obe unacheka nini 😂😂😅 moudgulf tuna kikaooo😁