Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,978
Imekaa vzrTukutane city
Usijali
Hahaha
Imekaa vzrTunaweza kupata kahawa jioni ya leo
HahahahaImekaa vzr
Midaa ya Gahawa hii UJUEHahahaha
Mfyuuu!! Unatania wapi wakati unamaanisha kabisaaβ¦!! πΉπΉπΉNzii kufia kwenye kidonda π kudimbua muhimu.
Lamony wewe TUPE skills tusitishane... kuhusu afya Mimi ni mdau wa afya mwandamizii senior.
NB. Nilikua natania sana nimesha tundika daluga muda mrefu Sasaπ
Selfika mkuu.Kuku kwenye mcheleπ€―
Roho imeniuma sana, kikao kimeisha jibu hatujapata wapi unatoa heleπ©Ila cantry, mbona kikao cha dharura.
Em njoo site tupambane na wachina huku. Lol
πππππππ
Leo ngoja niselfike kwa heshima yako dogo mtaalam wa mifumo ya kompyutaSelfika mkuu.
Selfika wakuone cheupe dawa.Leo ngoja niselfike kwa heshima yako dogo mtaalam wa mifumo ya kompyuta
Ulikuwa wapi kwaniSelfika mkuu.
Kwenye mahangaiko.Ulikuwa wapi kwani
We dogo mm sio mweupeSelfika wakuone cheupe dawa.
πππππ cantry, yaani nifirisike niendelee kuwa ombaomba? Em acha hizo.Roho imeniuma sana, kikao kimeisha jibu hatujapata wapi unatoa heleπ©
Maazimio ya kikao ni kukuombea mabaya ufirisike urudi kama zamaniπ€ !
Basi umepitwaa! Hapa marudio ni j2Kwenye mahangaiko.
Kuna post nimeona unaulizia bei ya vanguard. Umenichanganya sanaπ©πππππ cantry, yaani nifirisike niendelee kuwa ombaomba? Em acha hizo.
Niombee mafanikio zaidi bhana. Khaaah