Ulikwama wapi nawewe mbona ivo lakini ??!! Mtrotro mzuri mkaree mtulivu unamwachaje aende kizembe??!!Ndio hivyo , najaribu kusahau tu
BabaHivi wanaanzaga kuita baba au mama
Wajanja wa mujini wamenizidi keteUlikwama wapi nawewe mbona ivo lakini ??!! Mtrotro mzuri mkaree mtulivu unamwachaje aende kizembe??!!
Basi wa kwangu kakadhana kuita baba nikawa najisikia vibaya kumbe watoto wote wanaanza baba!Baba
Kakadhana ndio nini?Basi wa kwangu kakadhana kuita baba nikawa najisikia vibaya kumbe watoto wote wanaanza baba!
Kwanini sasa wakati sisi ndo tunashinda nao nyumbani
Kusisitiza, kushikiliaKakadhana ndio nini?
Basi sawaKusisitiza, kushikilia
Hahaha!Basi wa kwangu kakadhana kuita baba nikawa najisikia vibaya kumbe watoto wote wanaanza baba!
Kwanini sasa wakati sisi ndo tunashinda nao nyumbani
Dah usshunguuuu! Nimelia sanaWajanja wa mujini wamenizidi kete
Acha nisubiri siku yangu ya kuitwa mamaHahaha!
Sina uhakika na jibu ila nadhani ni Sayansi ya lugha hio sound/ b/ inatamkiwa mwanzo mwa mdomo mbele kabisa na sound /m/ inatamkiwa katikati ya kinywa huko
3 .5Ana miezi mingapi sasa
Anakaa sasa hivi3 .5
Acha kuuliza maswali yako juu ya jibu la swali langu😣Anakaa sasa hivi
Kila la kheri kipenzi fanya shuta uzae mapema umalize zako hekaheka mapemaAcha nisubiri siku yangu ya kuitwa mama
Kwamba?Acha kuuliza maswali yako juu ya jibu la swali langu😣
Mbona unamfokea lakini????Acha kuuliza maswali yako juu ya jibu la swali langu😣
Ubaya ubwelaKwamba?
Namtania tuMbona unamfokea lakini????