Thesonboy
JF-Expert Member
- Nov 20, 2025
- 901
- 2,472
😢Mwaka huu kwangu ulikuwa kama hii picha yangu dadekiiiView attachment 3522724
😢Mwaka huu kwangu ulikuwa kama hii picha yangu dadekiiiView attachment 3522724
Kwa hisani ya nani? ya babawakati sisi ndo tunashinda nao nyumbani
Kwamba wewe haupo serious?Duhh watu mpo serious humuðŸ¤
Hisani? ??? Rekebisha kauliKwa hisani ya nani? ya baba
Nipo serious babeKwamba wewe haupo serious?
Kama anatoa kwa upendo sio hisani jamaniHisani? ??? Rekebisha kauli
Anaweza kutoa kwa upendo lakini hilo ni jukumu lake 100% sioni hisani hapo.Kama anatoa kwa upendo sio hisani jamani
Ndio utulie Sasa kalokole kanguNipo serious babe
Mitano yote hio miwili tu unaweka kitru fastaa unamalizaSio mtoto mmoja kila baada ya miaka 5?
Mimi nataka watoto waleane huyu akifikisha 5 anaweza kumlea mdogo wake aliyezaliwa😂 Japo mipango sio matumiziMitano yote hio miwili tu unaweka kitru fastaa unamaliza
Vizuri ila hata kupishana miwili mitatu frembe tu unamaliza mapemaMimi nataka watoto waleane huyu akifikisha 5 anaweza kumlea mdogo wake aliyezaliwa😂 Japo mipango sio matumizi
Wii una nini lakini? 😹😹😹Mwaka huu kwangu ulikuwa kama hii picha yangu dadekiiiView attachment 3522724
Igweeeeeeeee 😹😹😹Tanguliza umbea TSR nakuja 🤣🤣
Wacha weeh, tatizo gangster mimi napenda mapenzi laini laini😅 huba litiwe na iriki, liwe shata shatah!
Ila namkubali sana, fundi mwenye mavituz yake, hana baya mshkaji wako!
Wee nawe utamuweza binti wa zamani nguvu zenyewe za soda min 😹😹😹Unanifukuzia mtoto mzuri wewe
😹😹😹😹Achana nae kalamo kanapenda vita
Hawa wanawake wenye viriba tumbo wanatisha kama misukuleMwaka huu kwangu ulikuwa kama hii picha yangu dadekiiiView attachment 3522724
Ukweli ni kwamba huu mwaka umenipa furaha usiyo elezeka pia umenipa machungu,masikitiko,huzuni isiyo futika maisha.Wii una nini lakini? 😹😹😹