min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,549
- 175,302
Achana nae kalamo kanapenda vitaHuna lolote 😂😂 mi nataka maelezo kuhusu huyu Mangi, simwelewi elewi ila naona kuna misururu ya warembo humu inataka kujipigia pande 🤣
Halafu huyo Maka mbona unampigia pasi ndefu ndefu hivyo, kwani kakuhonga nini 😅