Min umeanza lini uswahili lakini!??Nasubiri moja ya kwako kwanza
Ole wako ujaribu utachezea kipigo cha msela ushangingi wote utakuishaa 😹😹😹Haa haaa, hapo kwenye kunioa mimi ndiyo kipengele.
Labda umuoe mtoto Ephen
Umesahau umbea ndio hobby yangu? 😹😹😹Acha umbea
Tulia nijingakulie mtoto mzuriUmesahau umbea ndio hobby yangu? 😹😹😹
Utapigwa Mangi mali zingine haziguswi ohh!!Tulia nijingakulie mtoto mzuri
Mambo rasi
Powa tu, ulipotelea wapi?Mambo rasi
Tulia nijipigie zangu mipasi mdogo mdogo usiharibu na weweUtapigwa Mangi mali zingine haziguswi ohh!!
Nilitekwa na mshangazi rasii wanguPowa tu, ulipotelea wapi?
😁😁😁 huyo mshangazi inabidi atafutwe popote alipoNilitekwa na mshangazi rasii wangu
Mpaka natekwa na mshangazi sijui ulikua wap rasii😭😁😁😁 huyo mshangazi inabidi atafutwe popote alipo
😒😒 hata sijui ilikuwaje?Mpaka natekwa na mshangazi sijui ulikua wap rasii😭