Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Shamba lenye rutuba halikosi mmiliki, ukiona shamba liko hovyo jua hata panya hakai ๐ฆ๐ inabidi utengeneza na equation kabisa tuwe na formula
Kijana wetu Razorblade ana sikitisha sana, kiufupi ana piga pipa ๐๐คฃInasikitisha sana mkuu, mm mpaka sasa nalia mpaka wamama wa mtaani wameniletea uji wa mchele ๐ญ
Muongoo huyoo!! ๐๐๐๐
๐๐๐๐ ile weweeeTupo kwenye Confusedship...
Relationship imeisha๐๐
Pole si unajua hapa hatuachi picha muda mrefuNimekuta tag tu mama mtu sijaambulia kitu ๐
Uneanza lini roho mbaya๐Utakuja ufe kichwa wewe๐คฃ๐คฃ
Hafi mtu hapaAiseee ๐nyonga mkalia ini sio๐คฃ
Kaka Razor nipo na wewe mpaka wakuue๐คฃ
Or what is our situationship??๐๐๐๐๐๐๐ ile weweee
Nilishasema nipo na kijana wetu mpaka umuue ๐๐Uneanza lini roho mbaya๐
Wewe, umeenda kufanya nini huko tena?
Mi nmekaa zangu tu wakanivamia๐ฅนWewe, umeenda kufanya nini huko tena?
Sawa mamaMi nmekaa zangu tu wakanivamia๐ฅน
Sawa mama
Pumzka tu mama ukueNgoja nikalale๐คญ
๐๐๐๐Pumzka tu mama ukue
nataka vyote aunt๐๐๐๐๐๐๐
Ila shangazii nimecheka sana, kwanini lakinii?.
Unataka yawaje? Meupe? Au Dental form?
Nina mashavu kama mimba ya panya naona aibu kupiga picha ๐๐Mara ya mwisho kukuona nikipindi kile cha sofi, hebu fanya namna utubless cheupe wetu.