Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,285
- 79,892
True anko 😃Kaongo haka🙆♂️
True anko 😃Kaongo haka🙆♂️
Uho mji kigamboni umekaaa kimwinyi mwinyi sijawai pakubaliHUko viwanja bei sana mkuu 😃
Miji imejaaa sana waswahili hii mkuu 😂 😃 😃 Sema mie napapenda jinsi palivyo tulivu jioni naenda zangu kula mpepe baharini 😎Uho mji kigamboni umekaaa kimwinyi mwinyi sijawai pakubali
Mh hapana nyumba zimekaa kimwinyi uko kaeni ninyi naweza maliza mwaka sijafika kigamboniMiji imejaaa sana waswahili hii mkuu 😂 😃 😃 Sema mie napapenda jinsi palivyo tulivu jioni naenda zangu kula mpepe baharini 😎
😃😃😃😃Mh hapana nyumba zimekaa kimwinyi uko kaeni ninyi naweza maliza mwaka sijafika kigamboni
Muangalie fei kwanza ukoo😃😃😃😃
Ndio namcheki hapa huyu bidada ananichekeshaga sana nasubiria kumuona alia mtoto mzuri sana yuleMuangalie fei kwanza ukoo
Mimi nitaangalia marudio kesho saa mbiliNdio namcheki hapa huyu bidada ananichekeshaga sana nasubiria kumuona alia mtoto mzuri sana yule
Hakuna kupoamdogo mdogo tunamsahau slow slow..weekend hapo tunalewa tunasubiri trend mpya next week ffs!
Unatakiwa uelewe kabisa
Nipe kama dk 10 😃Aah hebu weka bwana
Weka tena.Hapana, itakua imekupita
Kabisa mkuu 😎😎Hakuna kupoa
Mmmmmmh!True anko 😃
Kwahiyo nimepitwa mama mchuNipe kama dk 10 😃
Duh, ht kuni tag , sijapenda😆😆Eeh mam2😂 Nawasubiri tu wewe na min -me niweke paper 2😅
Basi kesho tuko pamoja usijali kbs tutamwagilia utukufu hapa aisee😅Duh, ht kuni tag , sijapenda😆😆
Mi kesho nitaweka ya utukufu
Sahivi nimechoka balaa
Tuko makini bro😁Kamanda Nyamwi hajapita kuwafanyia Doria humu ?
Kuweni Makin Sana 😂