Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,190
- 33,711
Eenh afadhali jmn umetuokoa🥰Wafupi mbona wazuri tu
Eenh afadhali jmn umetuokoa🥰Wafupi mbona wazuri tu
😃😀😃😀Mimi naenda na aliyaMimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chake
Unakua kama banda la kitimoto lililofunikwa na turubali nin?😅Ndoivyo sasa kila nikiuweka haukai mahala pake😁
Si ndio😆Unakua kama banda la kitimoto lililofunikwa na turubali nin?😅
🤣🤣 ila uwe mfupi na hekalu la Mungu liwe na hata ka madhabahu kakuzugia sasa😅Eenh afadhali jmn umetuokoa🥰
Huyu ndio mzuri bwashee?Mchumba huyu hapa
View attachment 3485876
Madhabahu ka kuzugia ni nini tena jmn😅🤣🤣 ila uwe mfupi na hekalu la Mungu liwe na hata ka madhabahu kakuzugia sasa😅
Naunga mkono hoja ankoHuyu ndio mzuri bwashee?
LEbanoni Kuna mademu wazuri Sana anko mtoto mzuri sana huyu sema hapa kazidiwa asilimia 5 na pamela
Haya selfika full sasa nikuone.Kike
Natania hata sikupitaMhmm nimepitwa
HahahahaHaya selfika full sasa nikuone.
Mambo 😎Haya selfika full sasa nikuone.