Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
Haiba ya kike hana hana maringo ajui kudeka more than aliyaMimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chake
Haiba ya kike hana hana maringo ajui kudeka more than aliyaMimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chake
Ahahh toka uko umepotea njia rudi mpaka njia panda pinda kushotoAarghh unanivuruga tu zaidi, naelekea mtwara ss😁
Kweli ntakoma!Ahahh toka uko umepotea njia rudi mpaka njia panda pinda kushoto
Ila si tuna elewana 😂Kweli ntakoma!
Naelewa elewa😂Ila si tuna elewana 😂
Mpaka huku jamani, ndio nini sijuiTanesko washafanya yao
Rafiki usicheke, selfika.Hahahaha
Huku kigamboni Kila siku umeme unakatwaMpaka huku jamani, ndio nini sijui
Safi, selfika basi.Mambo 😎
Kigamboni Kuna kiza kinene mpaka kesho anko 😎Safi, selfika basi.
Duhh naona wamekata pote sasa mkoani hakuna umemeHuku kigamboni Kila siku umeme unakatwa
Tanesko miyeyusho sanaDuhh naona wamekata pote sasa mkoani hakuna umeme
Tayari Rafiki,labda hujaionaRafiki usicheke, selfika.
Unatakiwa uelewe kabisaNaelewa elewa😂
Ama uko njoo gobaHuku kigamboni Kila siku umeme unakatwa
Aah hebu weka bwanaDah ya utukufu ata kupiga nayo picha kimbembe mwangu🤭
Sema nini, kikubwa si kuvaa tu😁
Kaongo haka🙆♂️Kigamboni Kuna kiza kinene mpaka kesho anko 😎
Rafiki unanipanga🙆♂️🙆♂️Tayari Rafiki,labda hujaiona
Hapana, itakua imekupitaRafiki unanipanga🙆♂️🙆♂️
HUko viwanja bei sana mkuu 😃Ama uko njoo goba