nikuweke
JF-Expert Member
- Sep 23, 2025
- 370
- 835
Hizo ni pombe tu , ndio napita kufuta😆Nimefika, unataka kunipandisha sukari au ni pombe zako ndiyo zimeniita 😎
Kasalimie sanaKajomba kanafujo balaa. Ni kanalia hadi akili inanikaa sawa.
Nimepitwa rudia trena
Pombe zangu ziliona nikuite tu 😆Abeee 😊
😁😁😁 sahivi bado hujalewaPombe zangu ziliona nikuite tu 😆
Pita nikuone.Afande tesha napita hapa.
😅😁😁😁 sahivi bado hujalewa
wasalimie hapo kwa kambi, twakutegemea sana mjedaAfande tesha napita hapa.
Hapa ni Poland?Champion move
Imeisha hiyo wanangu, tarehe 29 tokeni, hakuna wa kukohoa, mie nitakuwa mbele nyinyi mnafuata.wasalimie hapo kwa kambi, twakutegemea sana mjeda
Picha zangu mbona maarufu sana tu, andika mtandaoni afande tesha, utaniona mchumbaPita nikuone.
🫡🫡🫡 kamandaImeisha hiyo wanangu, tarehe 29 tokeni, hakuna wa kukohoa, mie nitakuwa mbele nyinyi mnafuata.
Saluti🫡🫡🫡 kamanda
100 others umebaliki octber 29 babu yako atoke?Imeisha hiyo wanangu, tarehe 29 tokeni, hakuna wa kukohoa, mie nitakuwa mbele nyinyi mnafuata.
Toka tu bibi, mie nipo, usalama wa kutosha100 others umebaliki octber 29 babu yako atoke?