Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 361
- 944
Thank you 🙏🏿
Thank you 🙏🏿
Mie mstari wa mbele kabisaAu sio 😹😹😹
Ole wako usitoke maka
Kachezea miti ya maembe ya watu, wahuni waka vamia kumpa chai.Ilikuwaje kwani? 😹
Hata sikumbuki🤣Comments namba ngapi?
Tajiri mambo vipiephen_ Vincenzo Jr Chica Gee Mahondaw Atoto binti kiziwi
Now nimepunguza kg 3 kwa miezi miwili urefu sm 187 umri 39, kg 77 now .
View attachment 3485685
Hahaa mimi sio tajiri bhanaTajiri mambo vipi
Mara hii una miaka 39?ephen_ Vincenzo Jr Chica Gee Mahondaw Atoto binti kiziwi
Now nimepunguza kg 3 kwa miezi miwili urefu sm 187 umri 39, kg 77 now .
View attachment 3485685
Ndio maana wewe ni rafiki yangu kwa sababu umejua kukwepa uhalisia wa jambo😅Saa ngapi nilisema
Yeah hapa nimelewa mno , hiyo ndio miaka yangu halisi , wanasema pombe haidanganyi ile 33 ni uongo aseeeMara hii una miaka 39?
😃😀😀Sure bro Leo ephen_ anadai mimi sina akili? , hapa nimekaa najiuliza mtu anaeweza kupambania maisha yake na mpaka ya watoto wa ziada zaidi ya 100 ambao ni yatima anakosaje akili ?
Mambo 😎Mara hii una miaka 39?