min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,323
- 127,375
Mwanangu wa mama kibena unapita unacheka tu master MastaKiraka 1
Naperuzi tu mkuu, huku si ndio pa kupumzishia akiliMwanangu wa mama kibena unapita unacheka tu master MastaKiraka 1
Nimefika, unataka kunipandisha sukari au ni pombe zako ndiyo zimeniita 😎
KAWAIDA SANA SANAA SANAAAAAA kaka Mimi nakunywaga peke angu sina wapambe konyagiiii ndogo mbili zinanitoshaUmeanza mapemaaa sana, pesa inasomaaa eeh
Weka pichaNimefika, unataka kunipandisha sukari au ni pombe zako ndiyo zimeniita 😎
Kaka tuvusheNdio maana mimi sikutaka kuchangia jf na wale wa mwanzo mtu akianza na 10 mil humu mimi nitapanda juu yake , kwa hekima kubwa mno
Anza wewe kwanzaWeka picha
Kabisaaa tuwekewe la katiKaka leo ndio siku nakunywa kumaliza pombe na sio pesa , halafu kuna nyumbu wanakunja uso , natamani melo asingesahau dole la kati kwenye emoj Evelyn Salt alishauri hili🤔
Kwwli kaka Kuna watu wanakera kinomaa kakaKaka leo ndio siku nakunywa kumaliza pombe na sio pesa , halafu kuna nyumbu wanakunja uso , natamani melo asingesahau dole la kati kwenye emoj Evelyn Salt alishauri hili🤔
Mambo?? Uko poa??Kabisaaa tuwekewe la kati