nikuweke
JF-Expert Member
- Sep 23, 2025
- 370
- 835
🤪🤪🤪 Japan wamekuja na kifaa, cha kufuta memory.. hii itasaidia sana wahanga. Hizi song nakumbuka miaka ya zamani sana kwenye ujana, leo nimejikuta nazikumbuka na nimekumbuka mbaali sana kwa mtoto Winfrida enzi hizo namsindikiza skongaaaHizi tunza utamsikilizisha mpenzi ajaye.
Mimi hizi nyimbo siwezi kusikiliza, nina PTSD ya mapenzi!
Naungana na Evelyn Salt kama vipi yafutwe, nibakie na kudinyana tu!