binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,381
- 41,760
Mate wote wa forest ni washunu, naona unajitoa!ππ Jamani mate uko mshunu π₯°
Nyie mliumbwa saa ngapi wenzetu wazuri hivi??
Mungu kashindwa kutubless na sisi wa kaya maskini huku kwanini lakini? πΉπΉ
Subaru moja hiyo π
πΉπΉπΉπΉπ€£π€£πππππ uduguu usinijazee, ila nini nimekosa umbo mie kwa kweli. Vinginevyo ningekimbiza qumamake.
Kuna siku nilimuona mtu, sidhani km ni kidampa yule, sikunote kitu, ila jinsi alivyo, unajua ana hips? Afu tako kwa mbalii, alivaa modo ya kitambaa, na shati la 4m 6, chini kapiga sandols.
Nilijisemea, "jamani si ningepewa lile umbo mie niwape heka heka waja"
ππππππ
πππππHuenda akawa ndugu yangu, si unajua madingi tena, huenda kwenye 1 na 2, akasababisha "duniani wawili wawili"
Kuwapata watu walio tulia kama kina chino; ni tabu sana Sasa hiviAcha umalaya ushaoa kaaka πΉπΉ
π π π Dah! Ni huzuni πHakuna hata kapete ka ndoa hapo?
ππ€£π Ishakuwa nongwaAcha umalaya ushaoa kaaka πΉπΉ
πΉπΉπΉ Ukitua unifate na dadaako, kwanza nikuulize kule wanaume wa kibongo wana vibibi vyao vya kizungu, kwahiyo na mimi inatakiwa niwe na kibabu cha kizungu? πΉYaan mie ndo nachoka, muhimu nitue kwa tirampu, mengine yatajiseti huko huko.
Siwezi kuhangaika na uchumi uko chini ya kiuno changu.
ππππππ
Kweli mimi Sipo πΉπΉMate wote wa forest ni washunu, naona unajitoa!
Janja janja wewe! π
Kaya whaaaat! Mate unapajua kwetu singida? Kumepauka paaaau!
πΉπΉπΉ Unajisifia mwenyewe?Kuwapata watu walio tulia kama kina chino; ni tabu sana Sasa hivi
Vya kike kiongoziUnataka kama hivyo?
Atoto kasema nikulinde πΉπΉππ€£π Ishakuwa nongwa
Wale wanakulanaga wenyewe kwa wenyewe mahii!πΉπΉπΉ Unajisifia mwenyewe?
Mama yake Auntie mshunuu alikimbia nini?
Sawa mlinzi, timiza wajibu π€£πAtoto kasema nikulinde πΉπΉ
Sneakers hata wadada wanavaa,Vya kike kiongozi
We unaanza kuwa Katuga unachomoa karatasi πΉπΉWale wanakulanaga wenyewe kwa wenyewe mahii!
acha waone wao kwa wao.
Ukimuongelesha mdada tu nakuitia atoto πΉSawa mlinzi, timiza wajibu π€£π
Sawa kiongozi rangi iwe nzuri nyeusi hapana πSneakers hata wadada wanavaa,
Usiwazeeee I will take you to turk or some where for surgery and I will pay bill, am serious ukiniona Mimi around usiwaze kabisa tasimamia hizo gharama untill you be the best and looks how you wish to be , Dunia ya Leo umbo case ndogo sana inatatuliwa kwa siku tuπππππ uduguu usinijazee, ila nini nimekosa umbo mie kwa kweli. Vinginevyo ningekimbiza qumamake.
Kuna siku nilimuona mtu, sidhani km ni kidampa yule, sikunote kitu, ila jinsi alivyo, unajua ana hips? Afu tako kwa mbalii, alivaa modo ya kitambaa, na shati la 4m 6, chini kapiga sandols.
Nilijisemea, "jamani si ningepewa lile umbo mie niwape heka heka waja"
ππππππ
Siongeleshi.. π€Ukimuongelesha mdada tu nakuitia atoto πΉ
March mkuu, tukumbushaneSawa kiongozi rangi iwe nzuri nyeusi hapana π
Hivi kumbe vya bure π
Rangi utakayoona nzuri we lete boss π