Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
hahaha ngoja nisubirie mjombaYess inatakiwa awe hivyo, heka heka aniachie mie.
hahaha dah mahi wangu!!Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? πΉπΉπΉ
Hao wa UD shamba leo sawa ila sio kwa chino, mpaka mizigo ya riverside karuka nayo kwa mkopo..!! πΉ
kisesa dogo kule si ndio uli uziwa mlima kabisa?hahaha dah mahi wangu!!
Chino ukimkamata utaona jinsi alivyomshamba na mgeni hajapigana vita nyingi kiasi hiko.
Kipindi Yuko jalalani alikuaga ni joka la kibisa la kisesa mwanza;
Big chaiii, watu wa tanga wengi wachawi nyie, tena jana si ulikuwa una nitishia fisiππ¦Niliamka kusali kidogo
Hahaha!kisesa dogo kule si ndio uli uziwa mlima kabisa?
umbuzi mwisho huko kwenu, ukileta huku tuna kugeuza supu chap.Hahaha!
Dogo mi nichafu sana.
Ni vile sasa nimeamua kutubu na kusali!!
Ahahahaha mmmh kawaida mbona anKijana unalipa mshahara wa PHD
πππππhahaha ngoja nisubirie mjomba
Atasema nimeishia fomu six broKwanza Kapachino ata ambiwa tusomane, kwa ukolo wake ata hisi ni kuhusu shule ππ
Hapa nimecheka sana shemeji, umefanya nimkumbuke mpwa wangu πYaan bila vurugu, sina amani kabisaa.
Nimekumbuka tangu mdogo, ni full kukiwashaa, full kupigana, full maugomvi, ile kupiganisha watu.
Kuwaputisha mchanga ilu zianze kuwakaa.
πππππ
Yaan mie kwenye ngumi, mie ndo refariii, najua kukoleza pambano sada, ππππHapa nimecheka sana shemeji, umefanya nimkumbuke mpwa wangu π
Hiyo siku nipo kwenye harakati zangu nikapishana nae anatoka shule na wenzie wapo kundi halafu yeye kashika mabegi mawili na lake lipo mgongoni ile kuangalia vizuri kumbe yeye ndiye refa wa pambano watu wanataka kuzichapa ππ
Nilibaki nacheka tu maana ni mtaratibu japo anamkono wa kupiga ila hili la kuwa refa sikulitegemea kabisa πππ
AP una laba qaliii, afu loc inaonekana ni mambeleeee.
Huyu mpwa wangu watoto wanampenda hivyo hivyo japo akijisikia tu anawazabua πππYaan mie kwenye ngumi, mie ndo refariii, najua kukoleza pambano sada, ππππ
Za wewe depal
NjemaZa wewe depal
Mazuri kiasi uchovu tu ndugu yanguNjema
Mambo yako?