Kwa hicho kichwa, huyu hawezi kutafutwa wataona ni mlemavuAfu baadae utuambie unatafutwa, sa unatafutwa ili iweje wewe.....π
Uzi husika huu hapa: Selfika na JF: Snap it. Show it
Nikemee haya mapepo tu hamna namna afu yako serious tuingie dimbani yenyewe yakiwa yametangulia na magoli..!! πΉπΉππππππ
Uduguu mie sitaki, nacheka km mwehu hapa. Lol
ππππππNikemee haya mapepo tu hamna namna afu yako serious tuingie dimbani yenyewe yakiwa yametangulia na magoli..!! πΉπΉ
Usome UDSM halafu uokotwe kishamba hivyo?Nakwambiaga nikija uwe unakua nyuma yangu unanisaidia nisipigwee mjini.
Nimepigwa mitaa ya karume mitaa ya TBL kwa mbele; yule fala sijui anatumia vidawa.
Nimejikuta natoa buku mbili za glass ya juice pasipo hata kutarajia, juice yenyewe ni mi maji.
Jamaa kanishobokea kaniita utafikiri ananijua; kaka mkubwa vipi, daah kitambo mi nikabaki navuta taswira mbona simjui huyu. Kuja kushtuka nishakunywa juice glass mbili.
Yaan bila vurugu, sina amani kabisaa.Meji una penda vurugu ππ
πππππ kwamba UD kuna nn? Km ni mgeni je?Usome UDSM halafu uokotwe kishamba hivyo?
Hivi chino unatuchukuliaje lakini? πΉπΉπΉ
Mchonganishiπ¦ πYaan bila vurugu, sina amani kabisaa.
Nimekumbuka tangu mdogo, ni full kukiwashaa, full kupigana, full maugomvi, ile kupiganisha watu.
Kuwaputisha mchanga ilu zianze kuwakaa.
πππππ
πππππ yaan mie ni mbwaii mbwaiiii.Mchonganishiπ¦ π
Meji hizi vurugu zita mfanya sk achape rabaπππππ yaan mie ni mbwaii mbwaiiii.
Shule litokee tifu, afu nisihusike haiwezekaniii.
Lazima niwepooo. πππππ
Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? πΉπΉπΉπππππ kwamba UD kuna nn? Km ni mgeni je?
Chezea Dsm weyeeee. Lol
ππππππ wee umejuajeee?Kwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? πΉπΉπΉ
Hao wa UD shamba leo sawa ila sio kwa chino, mpaka mizigo ya riverside karuka nayo kwa mkopo..!! πΉ
Afu msalimie, naona huwa ananitembezea likes tyuuh.Meji hizi vurugu zita mfanya sk achape raba
Dah sasa wewe riverside uli fikajeππKwahiyo chino mgeni na wewe unaamini?? πΉπΉπΉ
Hao wa UD shamba leo sawa ila sio kwa chino, mpaka mizigo ya riverside karuka nayo kwa mkopo..!! πΉ
tume piga story mida ya jioni, sk hapendi mapicha pichaAfu msalimie, naona huwa ananitembezea likes tyuuh.
Sasa ndo tuta match ujue, yaan perfect combo.
ππππππ
Yess inatakiwa awe hivyo, heka heka aniachie mie.tume piga story mida ya jioni, sk hapendi mapicha picha