Mwamba wangu mmoja tu hapo Torres ana 42πhalaand goli 29 league.
Salah 24.
vinicious 14.
Master league sio sawa na game la simu, kenge maji π€£Mwamba wangu mmoja tu hapo Torres ana 42π
Nkamuππππ nimefurahi sana kukuona tena mweeMiss you Mama
HayaIlikaaa dakika zake za kutosha kuona kimya nikaipeleka kulalaπ
Kitu ambacho sikubaliani na wewe ni kunielekeza gameplay yako πMe nakubaliana na wewe kila kitu... Wewe sasaπππ
Mkuu leo game limefunguka bila shida halafu ilikuwa ni kugusa tu mali imetembea, Lukashenko ameninyima win nyepesi leo πYan unamzidi mtu wa pili point nne ukidraw ukafungwa umeenda yoo...ππangalia ma master hapaView attachment 3466189
Na wewe ukiwa miongoni mwaoππHaya
Irudie sasahivi
Watu wamelala
Ungenifata Mimi utoe gunduππMkuu leo game limefunguka bila shida halafu ilikuwa ni kugusa tu mali imetembea, Lukashenko ameninyima win nyepesi leo π
Aah wewe si mtu wa soka safi acha sisi wa haram football tufanye kaziKitu ambacho sikubaliani na wewe ni kunielekeza gameplay yako π
kulala sio dhambiAah wewe si mtu wa soka safi acha sisi wa haram football tufanye kazi
Leo si nikajichanganya kuoga usikuππkulala sio dhambi
kisingizio cha kupiga passport, mbona mi huwa naoga saa 7 na bado nalala vyema.Leo si nikajichanganya kuoga usikuππ
Nipo hapa usingizi haupo asee haya maswala tuwaachie wazungu π
Ni wewe me nikioga usiku ni kama nimeutaarifu mwili kuwa kazi kazi uwe activekisingizio cha kupiga passport, mbona mi huwa naoga saa 7 na bado nalala vyema.
Basi kaka acha nilale, nisije pitwa na hii episode π¦Ni wewe me nikioga usiku ni kama nimeutaarifu mwili kuwa kazi kazi uwe active
If that's true , unalingana na baba angu mkubwa.Mwaka 96 nilikuwa nina miaka miwili tangu nistaafu kazi
Umekimbia shemeji πsameja Dr am 4 real PhD upo macho nataka nipite naked kabisa
hapana nipo sikupata notificationUmekimbia shemeji π
Nilipitwa na ile picha Yako embu itume tenaπhapana nipo sikupata notification
Nilikuwa nasema hii simu leo imepata shida gani mbona nyepesi hivi πUngenifata Mimi utoe gunduππ