Bro kuna ka ukweli hivii, au basi maana wakili wangu hayupo 😅😂Mara nyingi nyie mnao semaga hamna mizigo! Mara nyingi Huwa mmefungasha mpaka yanawaelemea. Imagine wamechukua sanchoka
hata mimi huwa nasevi namba kwa style hiyo, ila jf ina ma Intel wangapi?Kwani hukupiga? Niliona imeseviwa intelligent jf
Na sikuhizi una mkuta mdada ni model haha ila kiunoni unabaki shangaa kazitolea wapi hizi nyama mbona sehemu nyingine hazipoAnhaa kaka mi binafsi mtanionea 😭
Basi sio wewehata mimi huwa nasevi namba kwa style hiyo, ila jf ina ma Intel wangapi?
Nisamehe, mere kuchi wangu🥲Unanizingua
ila una bahati hukushika simu, maana ninge kupiga biti 😅😂.Basi sio wewe
Siumesema hukupiga?ila una bahati hukushika simu, maana ninge kupiga biti 😅😂.
Hahaha, I was just playing with your mind.Siumesema hukupiga?
Kaka acha kingereza chako cha ugoko , ulikua unataka sema nini bwashee?Hahaha, I was just playing with your mind.
Nili piga, ila si jana wala juzi.
tuna tatizo bwashee?, mazungumzo haya yali kuwa kati yangu na ephen_Kaka acha kingereza chako cha ugoko , ulikua unataka sema nini bwashee?
Nimefuta halafu wewe ume replyKati ya wazazi wako yupi ni mhaya?
Ngoja nilale kwanza. Nasinzia hapa nishashiba ubwabwa wa sikukuu
Kwamba ushaweka selfie yako hapa halafu umeondoa?ephen_ Angel Nylon apite chap kama kipanga , au sio?
Ntumieni hiyo afu kumi nipooze Koo muhindii hajanilipa mpk sasa 😩 😩