HayaKumbe na wewe ni mdau min -me , lete daftarii letuu..
Mupe MURUKEEEE mupe MURUKEEEE mupe MURUKEEEE mupe MURUKEEEE 😁 😂
Unaselfika saa ngapi?Huyo mbona kitambo bwashee
Badae kidogoUnaselfika saa ngapi?
Zenji hiyo sijui
Hapana mkuu songosongo!!Zenji hiyo sijui
Mwache ajichanganye.umeamini mimi ni mgeni si ndio🤗🙈
Poapoa mkali.Hapana mkuu songosongo!!
ajichanganye kwenye niniMwache ajichanganye.
Ibu picha yake sikusave ila ni mwenyeji selfika na JF kwa ujumla 😹😹😹😂😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tiaraei wanakuwaga wapuuzi muda mwingine.
Usichoke nkamu wangu
Tubadilishane
Nirushie ya Ibu, nakupa ya Dokta.
Mi sio mtoto 😹muulize atakwambia
😹😹😹Ngoja nikupe picha Nkamu
Tiaraei uhangaike,
Kariakoo uhangaike
Na hapa selfie uhangaike?
Usihangaike😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Umeshindwa kumtambua 😹😹Ngoja kwanza nipitie kumbukumbu zangu😂😂😂😂😂😂😂
Nikumbushe NkamuUmeshindwa kumtambua 😹😹
Mwanangu sana tatizo 😹😹🤣Nikumbushe Nkamu
Uzee unaninyemelea
Nitajie tu nkamuMwanangu sana tatizo 😹😹🤣
😂😂😂😂😹😹😹
TRA wapuuzi sana, wanakukadilia kodi mpk unajiuliza nauza ndege??
Mi nawachamba mpk wanaona aibu wanapunguza..!!
😹😹😹Nitajie tu nkamu
Mimi ndugu yako
Kweli nimezeeka