Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,928
Acha uoga tupia tuone 😥Please 🙏 🥺 🥺 usiisambazeee
Acha uoga tupia tuone 😥Please 🙏 🥺 🥺 usiisambazeee
💯💯💯💯sijaisave khaa😅😅😅😅 umetuma na kufuta chap,, alf siwezi kukufanyia uswahili sameja wangu
Yaani hadi nimechoka loolBasiii usiondokeee
Sasa ivii nimetoka kutumaYaani hadi nimechoka lool
Toka asubuhi nasubiri tu hiyo picha
Dr am 4 real PhD ebu muonee huruma mwenzio ndo nini hiki kumchosha mdada wa watuYaani hadi nimechoka lool
Toka asubuhi nasubiri tu hiyo picha
umetuma wapi samejaSasa ivii nimetoka kutuma
Tatizo hakai ndaniii mwambie akae hapa mbele mbele natuma chapDr am 4 real PhD ebu muonee huruma mwenzio ndo nini hiki kumchosha mdada wa watu
Pichaaumetuma wapi sameja
Yaani bora unisaidie 😁Dr am 4 real PhD ebu muonee huruma mwenzio ndo nini hiki kumchosha mdada wa watu
ila kuna mda ulipotea alituma kweli sisy🤗😆Yaani bora unisaidie 😁
Maana tangu jana akasema ataweka saa2 usiku
Saa 2 hakuibuka
Leo toka saa1 asubuhi,topic ni picha.
Amenizungusha mnoila kuna mda ulipotea alituma kweli sisy🤗😆
haya na wew tutumie keki najua saivi ushakua gwiji kwenye kupamba🤗Hatimaye
Baada ya kusubiri sana🤣🤣🤣
pole mwaya ila kikubwa moyo wako umesuzikaAmenizungusha mno
Nikagive up ikabidi niendelee na mambo mengine
Maana ningesubiri picha tu,ona nimekuja kuona muda huu. Toka saa1.
Nimeonasisy Saint Anne ebu njoo kiti cha kwanza mbele kabisa
Haaahaa 😂 😁 tulikua tunapishanaa wewe ulikua hautulii 😅Amenizungusha mno
Nikagive up ikabidi niendelee na mambo mengine
Maana ningesubiri picha tu,ona nimekuja kuona muda huu. Toka saa1.
kwahiyo haujaona hata kisura cha upole kama baba yake? 😅😅😅Nimeona
Siyo kwa kufuta haraka huko🤣🤣🤣
Sijapata hata muda wa kuona vizuri.
Hapa nimetoka kupambanahaya na wew tutumie keki najua saivi ushakua gwiji kwenye kupamba🤗