Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sijuagi aiseee..!! 😹😹
Mi hata shem alinibeep nikamwambia kwendraa..!!
Wanaume waliojaa niteseke na wewe?
Siku aliyozaliwa akamuulize mama yake leba walikuwa wangapi? 😹
Ngoja nikupe picha Nkamu
Tiaraei uhangaike,
Kariakoo uhangaike
Na hapa selfie uhangaike?
Usihangaike😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
 
Back
Top Bottom