Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,395
- 191,480
Sura yake mtaratibu...mwenye macho ya aibu...umbo lake majaribu bado namkumbuka sanaaaMchana mwemaaaView attachment 1285445
Sura yake mtaratibu...mwenye macho ya aibu...umbo lake majaribu bado namkumbuka sanaaaMchana mwemaaaView attachment 1285445
Dem sweet lipzSunday njema kwenu.View attachment 1285364
Kwenye sura na macho umekosea kidogoSura yake mtaratibu...mwenye macho ya aibu...umbo lake majaribu bado namkumbuka sanaaa
Nirekebishe kwa passport size mama..moja tuKwenye sura na macho umekosea kidogo
HahahaaaNimehafaika na mdomo huo [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ndio.Hasira zimeisha mama?? [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Marahabaaa!Shikamoo mkwe.
Kwa hayo maaelezo
Staili ya uandishi wako
+Ile voice note yangu pale nilijitahidi kuongea haraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijaribu asee maana tutakupoteza.... Sasa nikuoneshe hapa au Tsap?
Marahabaaa!
Niletee cha Mbeya nionje 😂😂[emoji28][emoji28]ah wapi mie mbona ndiyo mambo yangu hayo?? Cha Mbeya nacho kikali sema hakivumi tu!![emoji39][emoji39]
Nioneshe kule aise
Yesus! Dah...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Sunday njema kwenu.View attachment 1285364
Niletee cha Mbeya nionje [emoji23][emoji23]
Nakutumia
Baba J 🙇🙇Baby Depal Asante kwa Zawadi mama..!
I am humbled...[emoji120][emoji120][emoji120]
Nimekuhamu ..Mama J..
Yesus! Dah...[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Unajua bwana, isingekuwa hii platform huenda tungepishana tu mtaani hata salam zetu wala msingepokea. Ilà hapa kwanza uta-like[emoji23][emoji23][emoji39] then utasema asante[emoji39]
Nimekuhamu ..