Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Itakuwa Iyovi hii, mwanzo mwanzo huku ukiwa watokea Moro...

Hizi kona kuna jamaa alikuwa ananikimbiza almanusira apate ajali maana ilikuwa usiku, mimi natembea 150, njia naijua...

Sasa kuna zile kona fulani hivi ni kali kama unazunguka duara hivi upande wa abiria...

Jamaa nilimuona kwenye rear mirror anahaha upande wa pili kuirudisha gari kati, alikuja nipata Ipogolo pale sijui wanapaitaje kuna sehemu ya snacks ni kama fuel station+supermarket+washrooms, ndio akaanza simulia tabu aliyoipata...
hizo kona ni kilomita kadhaa nyuma kabla ya mbuyuni(sijui ndio panaitwa iyovi?).



IMG_20191208_114501.jpeg
 
hizo kona ni kilomita kadhaa nyuma kabla ya mbuyuni(sijui ndio panaitwa iyovi?).



View attachment 1285253
Ukiwa waelekea Iringa tokea Moro, waanza kupita Iyovi ndio hizo kona kona, then Ruaha/Ruaha Mbuyuni then Kitonga...

Iyovi, Ruaha inakutoa nyanda za kati kukupeleka ukanda wa juu ambapo ndio hapo ukishaanza ipanda Kitonga...
 
Back
Top Bottom