Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kwahiyo sifa zako umeamua unipe mimi eti??
Ndiwooo [emoji23][emoji23]
Ndiwooo [emoji23][emoji23]
Ngoja niingie kilingeni kuboost... Zitafurika
Kwako wewe dawa za mshana hazifui dafuuuu kabisaaaIngia kilingeni baba tupost full bila kucrop wala kuweka emojis
Kwako wewe dawa za mshana hazifui dafuuuu kabisaaa
Hivi unajua ile pic yako nimeweka wallpaper 😊 au unataka mpaka nikuoneshe? Yan yale macho mimi hoiiii 😍 sema sina kaka mkubwa wa kukutoshaKwahiyo sifa zako umeamua unipe mimi eti??
Dogo 😅😅Nashangaa eti sifa zake ndiyo ananipa mimi,, macho mlegezo na sauti nyororo..
Morning too Mr!Goodmoniiii
Baba J... Si unajua hiyo michezo siipendagi 🙇Sogea huku Tuangalie Ngumi mama J
Nakuona tuu jinsi ulivyo jisahaulishakwamba me sio kaka!!!Hivi unajua ile pic yako nimeweka wallpaper [emoji4] au unataka mpaka nikuoneshe? Yan yale macho mimi hoiiii [emoji7] sema sina kaka mkubwa wa kukutosha
Hakikaa...Yaani siyo kufua tu hata kusuuza hazisuuzi kabisa,, nimeaga ziwa nyasa ati.. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]kama namuona carbamazepine anavyogonga nyagi kisa 2-1 [emoji28][emoji28]
Sasa bae hiyo pole ni ya city au the blues? Emu nije nyumbani kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha kichwa cha mb kile hana lolote...
Hii ni pole ya the blues bae,fanya uje kwanza
Mhh sio KB wewe? Au ukijitahidi sana MB[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu na gb zetu
🙇🙇Nakuona tuu jinsi ulivyo jisahaulishakwamba me sio kaka!!!