cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Mejiii umechangamkaa sanaa, πππππNi bonge la shere
Nderemo na vifijo
Kila meza na shampeni, mie nitaongeza mapulizoooo
πππ
Mejiii umechangamkaa sanaa, πππππNi bonge la shere
Nderemo na vifijo
Kila meza na shampeni, mie nitaongeza mapulizoooo
πππ
Sasa store kafunga atanifungulia Nani? πΉπΉWee dyadyaa si umuibukie maeneo yake,
Asikuletee giza au mambo meusii, afanye kukupa mzigo wako.
Km vipi chukua yake, hakuna kulembaa.
πππππ
Kule sio pouwa, utachagua wewe ugombane na Mungu au serikali πΉπΉπΉππππ ila Mbweni, niliwahi enda, nilivurugwaa mbayaa.
Nikasema si unaweza kufa na sonona.
Pacha Mimi kama shemeji mkubwa wa kiume, sina pingamizi na hilo.Mashallah π₯° ππ
Uduguu rangi ya mtume, mtoto mlito kabisaaa..!!
SK kapata jiko na store yake awwwww π₯°
Ndugu wa mume ongezeni mahari binti yetu kajitunza na mzuri πΉ
Haswaaaa!!! πππππKule sio pouwa, utachagua wewe ugombane na Mungu au serikali πΉπΉπΉ
ππππππ mbna wewooooooo!!Sasa store kafunga atanifungulia Nani? πΉπΉ
Hii ngoma nzito unaweza kupata kesi na haki za binadamu hivi hivi aiseee..!!
Biashara inataka moyo wa chuma, huku mchina pembeni bank mbele matapeli.
Km INEC, NIDA na CCM πΉπΉπΉ
Nasema hivi akitaka au asitake, wewe ndio mama sk π πUduguu umeanzaaa mbwembwee, ntakosa mume ujue.
Unataka nizeeke home? Vibayaa hivyoo.
πππππ
Mejiiiii mbona ghaflaaa sana, mnaniogopeshaa ujue.Pacha Mimi kama shemeji mkubwa wa kiume, sina pingamizi na hilo.
Labda mfeli nyinyi kudadadeki
Toto lina lipsi nzuri aisee, hadi kichwa cha chini kime nod in response ππTamba shemeji, ndugu yangu hana jeuri ya kukataa hiyo rangi na hizo lipsi πππ
Mejiiii una visaa weyeeee!! KhaaaahToto lina lipsi nzuri aisee, hadi kichwa cha chini kime nod in response ππ
Mejii kwa product kama yakoz lazima tu support aisee, huwa una oga nini ππMejiiiii mbona ghaflaaa sana, mnaniogopeshaa ujue.
ππππππ
Mama SK nitambe niwezavyo, ama nenee.Nasema hivi akitaka au asitake, wewe ndio mama sk π π
πππππMejii kwa product kama yakoz lazima tu support aisee, huwa una oga nini ππ
Mi nasema ukweli tu, hapa mejii tunaye na sio meji tu ni top notch π₯π₯Mejiiii una visaa weyeeee!! Khaaaah
ππππ
Namcheki nimu ambie una msalimia, hadi ume anza kuumwa ghafla sababu ya kumkosaπππ¦Mama SK nitambe niwezavyo, ama nenee.
ππππππ
Nasema ukweli tu, Hebu tu bless nyingine basi mejiiπ¦πππππ
Mejiii acha uwakiii bas, kwanini lakiniii?/
Sitakiiiiii!! Wee yako hujawekaaa, woiiiih.Nasema ukweli tu, Hebu tu bless nyingine basi mejiiπ¦
Limeisha hilo πMkikosa sana basi zisipungue fuso 3 π
Haswaaaa!!! Muambie nampenda sana mie SK wangu.Namcheki nimu ambie una msalimia, hadi ume anza kuumwa ghafla sababu ya kumkosaπππ¦
ππππMi nasema ukweli tu, hapa mejii tunaye na sio meji tu ni top notch π₯π₯