Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashallah 🥰 😍😍
Uduguu rangi ya mtume, mtoto mlito kabisaaa..!!

SK kapata jiko na store yake awwwww 🥰
Ndugu wa mume ongezeni mahari binti yetu kajitunza na mzuri 😹
Uduguu umeanzaaa mbwembwee, ntakosa mume ujue.
Unataka nizeeke home? Vibayaa hivyoo.
😂😂😂😂😂
Hata sisi hatuwezi kukubali kutoa mahari ndogo kwa hii mali 😂
 
Hata sisi hatuwezi kukubali kutoa mahari ndogo kwa hii mali 😂
Ariririiiiiiiii itapendeza mkilipia kwa dollar 😹😹
Mali swafi OG hiyo, Mzigo genuine huo..!!
Umenyooka hauna kipengele labda mje nacho nyie..!! 😹😹

Binti yetu anajua kumiliki mpira, kuanzia winga wa kati, beki wa nyuma na mbele hadi pembeni anazuia mashuti..!!
 
Uduguuu, leta 🎤, utakimbiza wakwe ujue?
😂😂😂😂😂😂
 
😹😹😹 Ulivyo kisu hivo huwezi kuzeekea home.
Hapo lazima mahari million 50 na ng’ombe za usukumani zisizopungua 40 zenye ujazo wa kutosha..!!
Million 50? Haya matusi sasa, sisi tunaandaa 100 😂

Kuhusu ng'ombe hapana hatuwezi mnasibisha shemeji yetu na mavi ya ng'ombe 😂😂😂

Tafute kingine ila siyo ng'ombe 😂

cocastic
 
Back
Top Bottom