cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
Mejiiiiii una nini lakiniii? πππππMillion 50? Haya matusi sasa, sisi tunaandaa 100 π
Kuhusu ng'ombe hapana hatuwezi mnasibisha shemeji yetu na mavi ya ng'ombe πππ
Tafute kingine ila siyo ng'ombe π
cocastic
Ng'ombe wajae kwenye fuso.