Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 15,985
- 50,682
sasa mama hapo kuna nini kingineNdio ulichokiona au sio
sasa mama hapo kuna nini kingineNdio ulichokiona au sio
Fanya mpango ulete posa tu, Mjukuu tunaye 🤗Sio poa mzee huyo mtoto atanifanya nikaibe benki🤣
soon 🔜Fanya mpango ulete posa tu, Mjukuu tunaye 🤗
Tatizo Una wajukuu waleviUmefanya hadi nimevaa miwani yangu ya macho, kuweza kusoma ujumbe uliombatana na picha 😅
Kweli Wajukuu ninao 🤗
Hiyo pombe hujaiona au sio?😃sasa mama hapo kuna nini kingine
pombe kitu gani bhana🤣Hiyo pombe hujaiona au sio?😃
Wine kwenye kikombe haileweshi unaweza kunywa dumu zima🤣Nikapange Tu sasa,. Maana haya maisha ya kuweka pombe kwenye kikombe ili usijulikane kama unakunywa sio poa aisee🥺View attachment 3454037
Siwezi kulaumu kuhusu hilo Mjukuu, nahisi umenirithi Babu yako 🤗Tatizo Una wajukuu walevi
Ili ulewe unatakiwa kunywea kwenye nini?Wine kwenye kikombe haileweshi unaweza kunywa dumu zima🤣
Yaani😂😂😂,. Naona kama nakunywa maziwa mtindi😃😂Wine kwenye kikombe haileweshi unaweza kunywa dumu zima🤣
Angalau babu unanielewaSiwezi kulaumu kuhusu hilo Mjukuu, nahisi umenirithi Babu yako 🤗
Nilikuwa nakunywa John Walker hadi Bibi yenu alikuwa anazificha 🙌
Basi sawa 🧐pombe kitu gani bhana🤣
Mkuu Leejay49 habari za siku nyingi ?Alaaniwe aliyenifundisha kunywa pombe,. Mie sio wa kuwaka asubuhi asubuhi 🥺😰View attachment 3454402
Unadhani ukiamua kuacha utashindwa?Alaaniwe aliyenifundisha kunywa pombe,. Mie sio wa kuwaka asubuhi asubuhi 🥺😰View attachment 3454402
Kwa nn unakunywa asbh ? Wine inalegeza kinoma, utajickia mvivu mvivu, hata kama ulikuwa na safari zako utaghairi utaona bora upumzikeAlaaniwe aliyenifundisha kunywa pombe,. Mie sio wa kuwaka asubuhi asubuhi 🥺😰View attachment 3454402