min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,593
- 164,838
Nachukia sana coz mda mwingine nafosiwa ujue na isitoshe nimelewa🤣Nakuzingua! Huyo wewe ila wa siku ile sio
Nachukia sana coz mda mwingine nafosiwa ujue na isitoshe nimelewa🤣Nakuzingua! Huyo wewe ila wa siku ile sio
😹😹😹 Min una sura nyingi km agano la kale ujue..!!Huyo ephen_ apinge hii sio picha yangu nimpe pesa gademiiit View attachment 3445601
PoleNachukia sana coz mda mwingine nafosiwa ujue na isitoshe nimelewa🤣
Hiyo ndio sura yangu halisi , ukitaka kuniona lamo pm ipo wazi kabisa😹😹😹 Min una sura nyingi km agano la kale ujue..!!
Mara utume una dred, mara mweusi, ghafla umekuwa mweupe, hatujakaa vizuri mwembamba, data hatujazima ushakuwa mnene una body la mazoezi..!!
Sikiza mademu tunataka sasampa hatutishiwi na sura 😹😹🤣
Haya weka sasa sura yako og hapa mshkaji wangu..!! 😹
Wewe ndio GOT wangu.We nawe acha tamaa lione 😹😹😹
Chino ujue unanizoea sana.!!
Unamsifiaje mwanamke aliyenizidi shepu babe wako 😹😹😹
Ntakuacha talaka za idadi km ya wapiga kura waliojiandikisha daftari la tume..!! 🤣
Ka jinga wewePole
Zile zingine zilikuwa za nani? 😹😹Hiyo ndio sura yangu halisi , ukitaka kuniona lamo pm ipo wazi kabisa
😹😹😹 sikusamehiWewe ndio GOT wangu.
Figo zangu zitafeli mama
Pombe siwezi Mimi mama
Sana sana utamkuta chino mochwari.
ndo nimetoka kukusanya madeni ya vijora vyako,,, vipi upo nipite chap?🤗 au bado unafunga hesabu za vikoba 🤣🤣🤣🤣😹😹😹 ibu selfika niliona umepita km kipanga hapa..!!
We nipo pita kwanza ndo uniletee hesabu mdogoangu 😹😹🤣ndo nimetoka kukusanya madeni ya vijora vyako,,, vipi upo nipite chap?🤗 au bado unafunga hesabu za vikoba 🤣🤣🤣🤣
haya tulia hapo hapoWe nipo pita kwanza ndo uniletee hesabu mdogoangu 😹😹🤣
Tuma tuoneZangu na nnazo nitume tena?
Chap chap sasa niko makini 😹😹haya tulia hapo hapo
😹😹😹Ndo nimeletwa hapa tenaa?! 😂😂😂😂😂
Huku sasa tutapewa kifungo, mie sitakiiii.
Woiiiiih
😂😂😂😂😂😂 aaaah wee!!!😹😹😹
Na ndo ya uzi huu, tule ban ufe tuulilie matanga kisha ufufuke km Yesu..!! 🤣
Kukuacha wewe ni mwiko ni laana iyo.😹😹😹 sikusamehi