UnazinguaNgoja nitaileta tu
Huja upuruni prun lkn 😂Asili yetu 🤣
Uchebe kama huo kwenye unywaji wa mtindi inabidi utumie kijiko🤣Siwezi acha kupunguza nitaonekana mtega mabomu🤣🤣🤣
Vidole vyako sio hivyo! Umekonda lini?🤔
Raha ya ndevu hizo zipate mtu wa kuzishika shika vip yupo?😂😂Hahahaahah dah ndevu zinahitaji matunzo mno now nimeziacha hovyo tu 😅
Nifundishe kupiga guitar Mr Handsome
Umeacha mazoezi?🤣🤣 sijakonda bana ila vidole vyangu vyembamba tu🤣
Ndio maana kifua sikioni kumbe umeacha chuma.Hapana sijaacha ila now nafanya mikimbio sana na push up , chuma zilikua zinafanya kifua kiume so nimepunguza mno
Nimefanya comparison🤣🤣Kipo mbona , au kisa huo mkoti🤣
Hakii Nimepitwa min rudia tenaaa
Hii ni naked kabisa chuga girl 😋Nijiponze kidogo 😃View attachment 3445396
GorgeousNijiponze kidogo 😃View attachment 3445396
KMamake😂Hayupo hizi zinaoga kwa pombe tu🤣
Hivi kumbe wewe Depal ni mali safi hivi halafu bado changa kabisaNijiponze kidogo 😃View attachment 3445396
Doh kumbe ,wewe bado no mtoto mdogo hivi .Nijiponze kidogo 😃View attachment 3445396
Wow!!Dhambi zako zote umesamehewa na wamepewa wote wenye baiskel za CCM