Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,479
- 203,142
Huchomoki kwa ma Gen Z 😁Hii napita naked kidogo😅 pombe sio chai🤣
View attachment 3445492
Huchomoki kwa ma Gen Z 😁Hii napita naked kidogo😅 pombe sio chai🤣
View attachment 3445492
😂😂 ni kweli kabisa ilo tu limeisha kabisaJirani uwe unanikaribisha kuonja mapishi
Mimi napenda kula
Niliona juzi kati umepika biryani
Hapana ni vile uja jua tuDaaah we jamaa, unazingua sana
😹😹 au tutakujua?Sio mambo yangu ya haya
Sample za kina Mrs none huwezi kuzipata 😹😹😹Mrs none alinitaja kwenye yale maroroso , nikamtongoza akaingia mitini😅
Hahaha sio kwel lomo kwanini nisimpate?Sample za kina Mrs none huwezi kuzipata 😹😹😹
Zile zina watu wake ohhh..!!
Ilikuwa zamani sana sasa hivi siselfiki😹😹 au tutakujua?
Wewe unaonekana mwana selfika maarufu kabisa…!!
🤣🤣🤣Mrs none alinitaja kwenye yale maroroso yenu , nikamtongoza akaingia mitini😅
Akitanguliza hela ya maana kama simati anaweza kunipataSample za kina Mrs none huwezi kuzipata 😹😹😹
Zile zina watu wake ohhh..!!
Unani fit kabisa ila tanguliza tanguliza hela basi unajua kumrushia kuku vipunje vya mchele inakuwa rahis kumkamata na kumchinja min akeKwamba eti wewe sio saizi yangu🤣
Marahaba ,Asante.Aweee, shikamoo. Kwetu wazima, Jehovah anatushindia. Salamu njema zikurudie pia..
Hela haina idadi inategemea na tatizo lenyewe maana mimi nikipendwa ndo birthday yangu inafika, kodi inaisha, mama kijijini anaumwaHahahaa hela ya maana ni sh ngapi? Mfano
Sema tu , ukute pesa ya maana kwako ni bia zangu za nusu saa tu 🤣🤣🤣Hela haina idadi inategemea na tatizo lenyewe maana mimi nikipendwa ndo birthday yangu inafika, kodi inaisha, mama kijijini anaumwa
Mimi msabato pombe tunakatazwaSema tu , ukute pesa ya maana kwako ni bia zangu za nusu saa tu 🤣🤣🤣
Unachunika vizuri tu 😂Sasa wewe msabato mimi utaweza nichuna kweli🤣
😆Unachunika vizuri tu 😂
Sana min ake ila hutokaa unijue🤣Wewe kwa hiyo I'd yako kongwe ni rafiki yangu mkubwa bila shaka🤣🤣
Vijijini kuna raha yake mkuuHuko kuzuri, sioni boda wala mawakala uchwara.