Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha.................kwamba sharti la tucheki afya kabla mzigo haujaliwa sio ๐Ÿ˜…

Kuna Dogo mmoja nilimsoma humu anasema yeye anatumia lubricants Mwaka wa 8 huu anadunda

Nikajisemea, ngoja akutane na ule Ukimwi wa Mwaka 2000 atajua hajui
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kwa kweli akili za hawa vijana wa sasa mi mwenyewe sizielewi...
Hao wamezaliwa baada ya ARVs kuenea, pia hawakushuhudia kampeni za afya kipindi kile early 2000s kwenye TV, redio, vipeperushi vya afya, semina mashuleni n.k..... ndio maana wanachukulia poa...
 
wew ni early ngapi vile๐Ÿ˜…
 
Hiyo ndiyo mikato muhimu Kwa Wazee

Hata Ikulu unaweza kuarikwa kwenda kumshauri namba moja ๐Ÿค—
Yap! Uzee mwisho Chalinze aisee!

Nilitinga ofisi za NIDA pale KAWE na bonge la pensi designer kabisa na litisheti likuuubwa la ADIDAS chini raba kali na mzigo wa cheni ya dhahabu feki shingoni. Walinikatalia kuingia utafikiri humo ndani kuna cha maana wanachokifanya. Ilibidi nirudi nyumbani kutupia kanzu na barghashia kwanza.

Ajabu sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hahaha................ulitisha Mzee mwenzangu๐Ÿ˜…

Kwa pigo hizo umegoma kuzeeka ๐Ÿค—

Mimi huwa navaa jeans na tisheti nikiwa kwenye mtoko wa Jioni hasa tukikusanyika Wazee wa Mwaka 47 hapo Mlimani Park kukumbukia Ujana wetu

Otherwise, kanzu yangu ya kijivu ama nyeusi
 
Ilikuwa ni hatari sana miaka ile

Hadi Marehemu Kaptain Komba akatunga wimbo wa "Mgeni"

Hali ilikuwa ni mbaya sana ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ