Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Ndugu yangu leo nimeona pic ya maka bhana, nikawa namuita mshangazi ajionee uumbaji wa mchizi wetu mana kila siku tunaishia kumsoma vituko vyake..!!
😂😂😂😂😂 jamaniii
 
Ushabadili bwana coca? 😹😹😹
Dr umempeleka wapi tena??

Min mahaba yanam-stress mbele haoni 🤣
Dr sijawahi bhanaa, 😂😂😂😂
Sijabadili, huyu ni mchepuko, afu naona km mtego vilee, ngoja nikae kwa password. Lol
 
Back
Top Bottom