Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ndugu yangu leo nimeona pic ya maka bhana, nikawa namuita mshangazi ajionee uumbaji wa mchizi wetu mana kila siku tunaishia kumsoma vituko vyake..!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ jamaniii
 
Ushabadili bwana coca? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Dr umempeleka wapi tena??

Min mahaba yanam-stress mbele haoni ๐Ÿคฃ
Dr sijawahi bhanaa, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sijabadili, huyu ni mchepuko, afu naona km mtego vilee, ngoja nikae kwa password. Lol
 
Back
Top Bottom