100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,737
- 30,486
Babe wangu mzuri ngoja nitoke nikanyooshe miguu...Lamomy njoo uone mkono kabla haujafutwa
Babe wangu mzuri ngoja nitoke nikanyooshe miguu...Lamomy njoo uone mkono kabla haujafutwa
Nazijua nilitaka kumchefua tu 😹😹😹kwahiyo hata namba za bebi wako ulikua hauzikumbuki au makusudi tu 🤣
Ilikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaianiLamomy njoo uone mkono kabla haujafutwa
😹😹😹😹Watu weeeweeeehhhhhh!! 😋😋
😂😂
Faida gani wakati inagaiwa bure 😹😹Asipokulipisha, atapigaje faida hapo yeye mtu wa kati 😂
Mnatupa hasira za kutafuta pesaSina deni nawe teeeena.
Awwww 😍😍😍Sina deni nawe teeeena.
sawa kipenzi,, ukirudi tu nambieBabe wangu mzuri ngoja nitoke nikanyooshe miguu...
na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji 🤣🤣🤣Ilikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaiani
Mjukuu una mambo saana wewe 😂🤣na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji 🤣🤣🤣
ndio babu sijataka udugu apitwe 🤣🤗Mjukuu una mambo saana wewe 😂🤣
Mbona una visa hivyo, kweli umeniwekea Kapic na hujanitag 🙄Ilikuwa kwa ajili ya binti wa zamani, lamomy hatudaiani
Shemeji yako ana ndinga, leseni si unayo mdogo wangu?na mimi nimemuita kwa kisabengo aje aone uumbaji 🤣🤣🤣
Ilikuja ofisini kwangu, car wash, nikaambiwa niisogeze sehemu nzuri nikaioshee huloAwwww 😍😍😍
Maka huyo mnyama Volvo wa moto unamsukuma!!
Mnanionea saana 😳😳Mbona una visa hivyo, kweli umeniwekea Kapic na hujanitag 🙄
Haina haja ya hasira mkuu.Mnatupa hasira za kutafuta pesa
kabisa dada saivi jua la daslam litatuonea ndani ya ndiga😅Shemeji yako ana ndinga, leseni si unayo mdogo wangu?
Tuwe tunapokezana kudrive 😹
Tushapata gari la kwendea bagomoyo weekend kula bata..!! 😹😹😥
Ushaanza, la kwako na weekend utujazie mafuta tukaswampe nalo..!! 😹😹Ilikuja ofisini kwangu, car wash, nikaambiwa niisogeze sehemu nzuri nikaioshee hulo
😆 😂