Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kosa la macho πŸ₯Ή
Hata mkiziba nsimuone 😎
Ndani ya moyo wangu namuona yeye ❀️😍

Oooh kimaso maso wenye wivu mukome πŸ‘Œ
Mtaambulia matandu solo nala na yeye 😻
Na mkisema ananichuna ntampa paka BOTπŸ’°
Kama penzi taaluma basi ye ana degree πŸŽ“
Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og πŸ†
Midomo itawanuka kwa kununa 😠
Mngetafuna ata bigijii…. 🍑

Mapenzi matamu bhana, sijui nimtag..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…