Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ilitokea ivyooo so ikabidi ni accept pia ukoo wetu ni mdogo natamani kua na watoto wengi.

Unajua Mimi na wife baada ya ndoa tulikaa kama miaka miwili bila mtoto so ndio tukapata so mtoto ana miezi sita akapata ujauzito tena

In short ni ivyooo
Duuuh hongeraaa sanaaa!!
 
Back
Top Bottom