Selfika na JF: Snap it. Show it

We na

We nae unajishaua tu, mie nishabembeleza sana, unaniringia... πŸ˜‚πŸ€£

Fanya mpango TUBANDUANE, huenda tukanogewa TUKABANDANA. πŸ˜‚πŸ€£

GROUP O siwezi kubali mwenzangu ateseke.
Hebu nibembeleze tena 😹😹
 
Akili za nyege ndiyo zikoje hizo.
Hebu tupia na kapicha kako hapa tukutathmini πŸ˜ŽπŸ˜…
Si ndio hizo, unaona vidole unafikiria kupimwa oil, ukiona hata vidole vya mguu, akili inakupeleka kusimamia ukucha, kitanda unaona uwanja wa KUGEGEDANA πŸ˜‚πŸ€£

Hata haina haja ya picha, mie mbovu, NIMENYATA kujisemea wamakonde πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Si ndio hizo, unaona vidole unafikiria kupimwa oil, ukiona hata vidole vya mguu, akili inakupeleka kusimamia ukucha, kitanda unaona uwanja wa KUGEGEDANA πŸ˜‚πŸ€£
πŸ˜‚
Hata haina haja ya picha, mie mbovu, NIMENYATA kujisemea wamakonde πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
Ubovu huo tutaujua sie, maana kuna vile vitu vyetu tunaangalia, mwanaume hapendewi sura πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…