Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂!

Mambo mengi uzee nao umepamba moto basi tafrani tupu mnywaniii!

Hebu fanya jambo🤳 jioni yangu iishe Vizuri kwanza
network ikitulia Wala usijali.

Naweza nikashindwa ifuta kwa wakati nikipandisha.

Huko mjini nyie SI mna 5G.
Haha embu niuwone huo uzee mnywani.

sumbai
 
network ikitulia Wala usijali.

Naweza nikashindwa ifuta kwa wakati nikipandisha.

Huko mjini nyie SI mna 5G.
Haha embu niuwone huo uzee mnywani.
Umeanza lini siasa mnywani lakini khakhakhaaa!

Basi ngoja nisubirie hio network ikisetoooo

Mi mwenyewe huku Nyakiboo kwa mama Nyugumnya network kashesheeee!
Nkitupia ntakuita mnywani usijali
 
Umeanza lini siasa mnywani lakini khakhakhaaa!

Basi ngoja nisubirie hio network ikisetoooo

Mi mwenyewe huku Nyakiboo kwa mama Nyugumnya network kashesheeee!
Nkitupia ntakuita mnywani usijali
Hahaha Wala usiwe na hofu.
Nasubiria mnywani.
Hujawahi niangusha.
 
Screenshot_20250730-215912.png
 
Back
Top Bottom