Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kuna uzi wa kombolela umeanzishwa wiki hii hii😂😂😂😂na wanaume wanajimwayamwaya humoUnakuta mwanaume anaangalia kombolela🤔
Kuna uzi wa kombolela umeanzishwa wiki hii hii😂😂😂😂na wanaume wanajimwayamwaya humoUnakuta mwanaume anaangalia kombolela🤔
🤣🤣🤣🤣💔Mangi kavaa nguo za skukuu mwaisa 😹😹
Daaah😅Kuna uzi wa kombolela umeanzishwa wiki hii hii😂😂😂😂na wanaume wanajimwayamwaya humo
Takataka 😅Anamalizia na Thé makeover 😹
Sijui muda wanaukuta wapi? 😹Kuna uzi wa kombolela umeanzishwa wiki hii hii😂😂😂😂na wanaume wanajimwayamwaya humo
Mifurushi 😹Takataka 😅
DStv ligi karibu inaanzaSijui muda wanaukuta wapi? 😹
Mi hiyo DSTV nimefunga sababu sipendi watu kunirudia usiku kwangu wakitoka kutazam mpira..!!
Hahahah unauliza makofi policeMashavu atashika shemeji yako ww vipi ushalewa? 😹😹
Lazima tumuone jobless kobisiUnakuta mwanaume anaangalia kombolela🤔
Niko poa sijui ww kakaMambo dada yangu upo gudi?
😍😊😊Dada yangu huyo😊
Mmawezaje kula vitu vya baridi?
Khee hadi wwLazima tumuone jobless kobisi
Kobisi kikala.Khee hadi ww
Forever and alwayssssssss!!!!!!!Mnywani kama mnywani.
Kheri ya mwaka mpya kwanza.
Mara ya mwisho ni pale oilcom Dodoma! Ulivyoniachia vumbi na katarama ya Bk.Forever and alwayssssssss!!!!!!!
Njema sana mnywani nakwako piaaaaa!! Kitambo sana asee