min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,436
- 127,742
Karibu tule pombe tuMimi ndio aliyepiga picha
Karibu tule pombe tuMimi ndio aliyepiga picha
Ukitoa emoj Ile ntaanza kunywa pombeKaribu tule pombe tu
Nambie kanyamwiKamin kamin
Kumbe kadogo kadogo tu😁Nambie kanyamwi
Hahahhaa ila umri umesonga kidogo 🤣Kumbe kadogo kadogo tu😁
Mimi nalia tu na emoj
Aah floor ya 3 unasema umri umesogeHahahhaa ila umri umesonga kidogo 🤣
HahahaMimi nalia tu na emoj
Yaani emoj hizo khaaa!
Kaka mzuri emoj kama zote,unataka zikuue?
Bado kidogo 40Aah floor ya 3 unasema umri umesoge
Hizo emoji umezitoa wapi😆Bado kidogo 40
Hahahaa kwa nilivyo ferocious humu kupita naked ni ngumu mno🤣😜😜Mimi nalia tu na emoj
Yaani emoj hizo khaaa!
Kaka mzuri emoj kama zote,unataka zikuue?
Acha uoga weweHahahaa kwa nilivyo ferocious humu kupita naked ni ngumu mno🤣😜😜
Hahahaha uoga lazima uwepo jf ni kijiji ujue ? Kuna picha ya nusu uso ni1liweka mwaka jana kuna mwamba Ali comment kunijua kinyumbani kabisa na kweli kimoyo moyo nilimkataa ila alinijua kweli😅😅Acha uoga wewe
Cheupe dawa wangu 😋😋😋
Mtoto kashakua
Hajakua bado.Mtoto kashakua
Au nitoe emoji 🤪Cheupe dawa wangu 😋😋😋