Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,234
- 86,856
Mnanitafuta ya moyoni muanze kusema Lamomy anaharibu kijiwe..!! 😹😹😹
Hamkomi yaliyowakuta kwa figo 🤣
Mnanitafuta ya moyoni muanze kusema Lamomy anaharibu kijiwe..!! 😹😹😹
Zile picha za mwaka jana alikua nani? 😹😹
Hahahha nilikua sifichi uso hizi umejuaje wakati naficha uso 🤣Zile picha za mwaka jana alikua nani? 😹😹
Naona mtu mwingine leo min 🤣
Mhmmmm hivi mtu akitaka kuwa babe wako anatakiwa awe mababe kiasi gani lamo? Unaonekana ngumi mkononi kinoumaNishapita naked mbele ya babe wangu chino sirudii tena, nisije kuachika bure..!! 😹
Zile ulikua white huku tena naona upo black 😹Hahahha nilikua sifichi uso hizi umejuaje wakati naficha uso 🤣
Picha tu , ila nyie simnapenda weusi tu? Acha ninywe bia mimi🤣Zile ulikua white huku tena naona upo black 😹
Upo nitume nyingine mbili tena?Zile ulikua white huku tena naona upo black 😹
😹😹😹 Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!Mhmmmm hivi mtu akitaka kuwa babe wako anatakiwa awe mababe kiasi gani lamo? Unaonekana ngumi mkononi kinouma
Hahahahaha wewe utakuja kamatika tu 🤪😹😹😹 Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!
Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!
Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!
Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia 😹
Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimya…!! 🤣😹😹
Hivi kwanini Sumbai asimdate da Mau jamani watupunguzie dipresheni jukwaani? 😹
Weeh ile uko tofauti bana..!!Picha tu , ila nyie simnapenda weusi tu? Acha ninywe bia mimi🤣
Huyu wa mwisho ni kinyago ila watu kuwa na ubinadamu wanaona wamsitiri tu🚮Hivi kwanini Sumbai asimdate da Mau jamani watupunguzie dipresheni jukwaani? 😹
Au nimekumbuka amchukue Marry 😹
Tuma nikuone 😀Upo nitume nyingine mbili tena?
😹😹😹Hahahahaha wewe utakuja kamatika tu 🤪
Marry Diana imemsikia min anakuchokoza huku 😹😹😹Huyu wa mwisho ni kinyago ila watu kuwa na ubinadamu wanaona wamsitiri tu🚮
Sa itakuaje mchuchu hahaha😹😹😹 Kuniwin mimi inatakiwa ujipange kisawa sawa..!!
Kuna siku nilimkaribisha ex wangu home akajua namrudia, nilimwambia ukikaribia kufika nishtue akasema, sawa hamna shida..!!
Alivyokaribia akaniambia nipo kona ya kuingilia kwako nikasema sawa utafungua gate uingie niko kuoga..!!
Hapo kulikua na mbwa mpya nimemnunua sasa nilitaka nione ufanisi wake kwenye kukamata wezi nikamuachia 😹
Anaingia tu askari huyu kakamata miguu aliita mimi kimya…!! 🤣😹😹
Tofauti bana, we yule wa mwaka jana alikua hot nusu nimuache Mangi wangu nijieke..!! 😹😹😹
Hahahahahaha huyo demu akataka akudangie akaona Lemadam linamihela,Dr. Mariposa nikuchekeshe 😹😹
Jana nilienda live band, sasa bana mizuka nikajikuta natunza napaishwa pale Le madame bosslady Lamomy..!!
Ghafla nikapata machawa, saa ngapi nisimtongoze demu mmoja 🤣🤣
Nikapiga na vitraco vyake akajua mi lesbian, acha anigande 🤣🤣
Nyie mipombe sio mizuri unaweza kufanya vitu vya ajabu halafu ukajuta 😹😹
Na wewe zamu yako inakuja si unajifanya mjuaji 😹😹Sa itakuaje mchuchu hahaha