Halafu Ana niambia shida ni nini 😂🤣naona kabisa mlege
SawaaChika potezea wajinga
😍😍😍, sawa RastaNo sisi ni marasii
Nimepatwa na kigugumizi mkuu 😁Dosho unasemaje
HaiwezekaniNimesahau hata nilichokuwa nataka kusema 😀
🙄🙄 sawaNimepatwa na kigugumizi mkuu 😁
Ninawazo tunasubiri akilewa sana mpaka hajitambui alafu tunampeleka kwenye barafu huko Antartica, au unaonaje 😅Hebu nimuite aje kujibu mwenyewe
Ngoja nimwite Mwanasheria wangu Mpaji Mungu aje aseme chochoteUnaona Mungu yupo upande wetu, hapo tumshawishi aongeze kumi zingine, kwisha kazi 😁😁