Wewe ndie shibela mbona avatar zinafanana? samahani lakini...Njoeni tusali novena View attachment 3416812
Mambo gani Tena yameshindikana huko mdogo wangu mpaka umemkumbuka MT Ritha🤓🤓🤓🤓🤓Njoeni tusali novena View attachment 3416812
Wanadamu ndio wameshindikana Mamie😂😂,.Mambo gani Tena yameshindikana huko mdogo wangu mpaka umemkumbuka MT Ritha🤓🤓🤓🤓🤓
Ukifika hatua ya kuwatoa mabusha nistue nikupe Namba😎😎😎😎Wanadamu ndio wameshindikana Mamie😂😂,.
Wacha niwasalie novena Kwanza nikiwa naendelea kutafuta mganga mzuri WA kuwashughulikia😂😂🤔
Hii inawezekana Kwa ukoo mzima??,. Yaani vijana wote WA ukoo wao iwapate hii😌😬Ukifika hatua ya kuwatoa mabusha nistue nikupe Namba😎😎😎😎
Mzee mwenzangu ,umeacha kula mihogo na magimbi umeanza kula vyakula vya watoto wa Dar es salaam ?
Nahisi Wajukuu wanataka nikose hata uwezo wa Kufunga goli moja hata nikibaki na Kipa 😜Mzee mwenzangu ,umeacha kula mihogo na magimbi umeanza kula vyakula vya watoto wa Dar es salaam ?
Wajukuu wanakupoteza hao
Sio ukoo mmoja tu Hadi na koo jirani na hiyo koo tunamaliza Kazi mapema😎😎😎😎😎Hii inawezekana Kwa ukoo mzima??,. Yaani vijana wote WA ukoo wao iwapate hii😌😬
Rudi shamba bwana ,chipsi waachie waoNahisi Wajukuu wanataka nikose hata uwezo wa Kufunga goli moja hata nikibaki na Kiba 😜
Wacha nirudi shamba tu 😅
Nahisi pia sijazoea aina hii ya vyakula, nimeshindwa kupata the real taste kabisaRudi shamba bwana ,chipsi waachie wao
Ambao mliselfika wakati sipo wote rudieni niwaone..!! 😹😹