Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Mwanampotevu Kapachino umepotea sana, za muda mrefu? Karibu tena JF. Angalau mzee wa Hall V sumbai huwa anachungulia chungulia, nimefurahi kukuona tena Chino.Kaka Yuko wapi Bantu Lady